21 Dec 2015
December 21, 2015

Sadaka toka Qamar Foundation ya Canada

0 Comment

Misaada mbali mbali Taqwa tumepokea kwa ushirikiano na Qamar tumefikisha Pemba ni vifaa vya hospitali, magodoro vitanda vya Hospitali, madawa na wheelchairs.

Na katika elimu wameleta viti vya nursery school, meza, mabegi na vifaa vya elimu stationery kwa yatima mjiniĀ Pemba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *