M Miongoni mwa watoto wanaodhaminiwa na TAQWA, baada ya kupokea Sare, mabegi na vifaa vya shule. ALLAH AWAFANYIE WEPESI WA RIZQ WOTE WALIOCHANGIA NA AWALIPE MALIPO MEMA KWA AJILI YA AKHERA YAO. read more →
Kongamano hili lilifanyika siku ya Jumapili tarehe 11/12/2016 kwenye Ukumbi wa shule ya TAMBAZA, Dar es salaam. Shughuli mbalimbali zilifanyika siku hiyo kwa ajili ya watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA, zikiwemo; Ukaguzi wa afya za watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA. Usaili wa Qur’an pamoja na dua ili kujua maendeleo ya watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA.. read more →
Taqwa ilipeleka sadaka ya futari kwa yatima waishio Pemba read more →
Taqwa wakitoa Sadaka ya futari kwa watoto yatima katika mji wa Kisarawe read more →
Misaada mbali mbali Taqwa tumepokea kwa ushirikiano na Qamar tumefikisha Pemba ni vifaa vya hospitali, magodoro vitanda vya Hospitali, madawa na wheelchairs. Na katika elimu wameleta viti vya nursery school, meza, mabegi na vifaa vya elimu stationery kwa yatima mjini Pemba read more →
Pia Qamar Foundation wametengeneza nyumba kwa mikono yao ya ile familia yenye watoto 6 walemavu huko Pemba read more →
Archives
RECENT NEWS & EVENTS
- 07 Sep 2018UGAWAJI WA SARE ZA SHULE KWA WATOTO YATIMAM Miongoni mwa watoto wanaodhaminiwa na TAQWA, baada ya kupokea Sare, mabegi na vifaa vya shule. ALL...
- 07 Sep 2018KONGAMANO LA KUCHANGISHA PESA/VIFAA VYA SHULEKongamano hili lilifanyika siku ya Jumapili tarehe 11/12/2016 kwenye Ukumbi wa shule ya TAMBAZA, Dar...
21 Dec 2015Sadaka ya futari kwa yatima waishio PembaTaqwa ilipeleka sadaka ya futari kwa yatima waishio Pemba...