379368

Kongamano hili lilifanyika siku ya Jumapili tarehe 11/12/2016 kwenye Ukumbi wa shule ya TAMBAZA, Dar es salaam.

Shughuli mbalimbali zilifanyika siku hiyo kwa ajili ya watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA, zikiwemo;

  1. Ukaguzi wa afya za watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA.
  2. Usaili wa Qur’an pamoja na dua ili kujua maendeleo ya watoto Yatima wanaodhaminiwa na TAQWA hususan kwenye masuala ya kujifunza dini yao.
  3. Mawaidha kwa Walezi wa watoto na watu wengine waliohudhuria Kongamano hilo.
  4. Mnada kwa ajili ya kuchangisha pesa taslim kwa ajili ya kununulia vifaa vya shule vya watoto Yatima hao.
  5. Michezo ya watoto
  6. Chakula kwa watu wote waliohudhuria Kongamano hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *